TWCC Logo
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Ziara Uturuki 2026
Tanzania Women Chamber of Commerce

Ziara Maalum
Uturuki 2026

Jisajili sasa kushiriki maonesho ya kimataifa โ€” jifunze teknolojia, gundua masoko mapya, na panua biashara yako.

๐Ÿ“… 8 โ€“ 14 May 2026
โฐ Mwisho: 20 April 2026
๐Ÿ“ž 0757 823 982
๐Ÿ’ฐ TZS 5,900,000/=

1
Taarifa Binafsi

Weka jina lako kamili, namba ya simu, na eneo unalotoka.

2
Chagua Maonesho

Unaweza kuchagua maonesho zaidi ya moja ndani ya kipindi cha safari.

๐Ÿ’ผ Gharama ya Ushiriki Inajumuisha:

  • Tiketi ya Ndege (Kwenda & Kurudi)
  • Malazi & Chai ya Asubuhi
  • Viingilio vya Maonesho
  • Usafiri kwenye Masoko
  • Visa
  • Bima ya Safari
  • Huduma ya Ukalimani
  • Mwongozo wa Safari
Gharama yote kwa mtu mmoja TZS 5,900,000/=

โš–๏ธ Tamko la Ukweli (Declaration)

Mimi, niliyejaza fomu hii, nathibitisha na kukubali kwamba:

1. Taarifa zote nilizoweka katika fomu hii ni za kweli na sahihi.
2. Ninataka kwa hiari yangu mwenyewe kushiriki katika Ziara Maalum ya Wafanyabiashara nchini Uturuki โ€” Mei 2026.
3. Ninaelewa kwamba kutowasilisha taarifa sahihi kunaweza kusababisha kufutwa kwa usajili wangu.
4. Ninakubali masharti na vigezo vyote vya TWCC kuhusu ziara hii.

โฐ Mwisho wa kujiandikisha: 20 April 2026  |  ๐Ÿ“ž Maswali: 0757 823 982